LIVERPOOL BADO HAISOMIKI, YABANWA NA BURNLEY


Mwendo wa Liverpool bado si maridadi katika Ligi Kuu ya England baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Burnley.

Burnley ilikuwa ya kwanza kuandika bao kunako dakika ya 27 ambalo lilidumu kwa dakika tatu tu kabla ya Mohamed Salah hajaisawazishia Liverpool dakika ya 30.No comments