Habari

MAKUBWA YAMKUTA ROONEY, KIBANO CHA MIAKA MIWILI NA FAINI JUU YAKE

on

Wayne Rooney anakabiliwa na faini kubwa kutoka kwa klabu yake ya Everton baada ya kukiri makosa ya kuendesha gari huku akiwa amelewa.
Rooney amekubali kosa hilo mahakamani Jumatatu asubuhi kufutia kukamatwa kwake na polisi Septemba 1 akiwa amempa lifti mwanamke aliyekutana nae bar.
Kipimo cha pumzi yake iliyonyesha amekunywa kiasi cha uzito wa mg 104 wakati kipimo cha mwisho kinachoruhusiwa ni mg 35.
Rooney amehukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili na kutumikia kazi za kijamii kwa jumla ya saa 100 huku Everton nayo ikitarajiwa kumlima faini ya pauni 300,000.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *