MAN CITY YACHEMSHA KWA SANCHEZ

KLABU ya Manchester City imeripotiwa kujitoa katika mbio za kumwania mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez ambaye aligoma kuongeza muda wake Emirates.


Sanchez mwenye miaka 28, amekuwa akiwindwa na Pep Guardiola kwa muda mrefu lakini uhamisho huo ulikwama baada ya Wenger kusisitiza hana mpango wa kuachana nae msimu huu.


No comments