Habari

MANCHESTER CITY YAHOFIA KUPIGWA BAO NA PSG KATIKA USAJILI WA ALEXIS SANCHES

on

MANCHESTER CITY inahofia kupigwa bao na PSG katika usajili wa mshambuliaji nyota wa Arsenal Alexis Sanchez ambaye ataondoka bure kiangazi kijacho.
Mchezaji huyo wa Chile anataka kuondoka Arsenal na atakuwa huru kuzungumza na vilabu vingine vya Ulaya kuanzia mwezi Januari, lakini City itabidi isubiri hadi mwishoni mwa msimu.
Pep Guardiona ana uhakika kuwa Sanchez mwenye umri wa miaka 28 anataka kujiunga na Manchester City licha ya kushindwa kumsajili kwa pauni milioni 6o kiangazi kilichopita.
PSG ambayo pia ilijaribu kumsajili Sanchez bila mafanikio, inadaiwa ipo tayari kumpa mshahara wa pauni 275, 000 kwa wiki, dau ambalo lilitolewa na City.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *