Habari

MANCHESTER UNITED YAAMINI DE GEA ATASAINI MKATABA MPYA OLD TRAFFORD

on

MANCHESTER UNITED inaamini mlinda mlango wake namba moja  David De Gea atasaini mkataba mpya  Old Trafford.
Real Madrid imekuwa ikimwinda bila mafanikio kipa huyo mwenye umri wa miaka 26 tangu mwaka 2015.
Kwa mujibu wa gazeti la The Independent la Uingereza, United  itafungua mazungumzo ya mkataba mpya na De Gea wiki chache zijazo. Mkataba wa sasa hivi wa De Gea unaisha mwaka 2019.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *