MAPACHA WATATU YA CHOKORAA KUACHIA WIMBO MPYA WIKIENDI HII


Bendi ya Mapacha Watatu Original chini ya Khalid Chokoraa, wikiendi hii itaachia wimbo wake mpya kabisa.

Akiongea na Saluti5, Chokoraa alisema wimbo huo uliopewa jina la “Yananitesa”, utaanza kusikika hewani kuanzia Jumamosi hii.

Kazi hiyo imerekodiwa katika studio za On Time Production chini ya producer Amoroso Soundo.

No comments