MASHAUZI CLASSIC HAWAPO MANGO GARDEN ALHAMISI HII


Kundi la Mashauzi Classic chini ya Isha Mashauzi, halitakuwepo Mango Garden, Kinondoni Alhamisi hii.

Akiongea na Saluti5, Isha Mashauzi amesema kundi lake lina kazi maalum Alhamisi hii ambayo itawafanya wakosekane Mango Garden.

Kwa kawaida kundi hilo hutumbuiza Mango Garden kila Alhamisi.

Isha amewaomba radhi mashabiki wa Mashauzi Classic kwa usumbufu wowote watakaoupata kwa kukosekana kwao Mango Garden Alhamisi hii.

No comments