"MNENE" WA REAL MADRID AKIRI KUMSAJILI LIONEL MESSI NI SHUGHULI PEVU

BOSI wa Real Madrid, Frolentino Perez amesema kuwa suala la kumsajili staa wa Barcelona, Lionel Messi haliwezi kutokea kirahisi.

Perez amesema kuwa kipindi cha nyuma wakati Messi anakua, walikuwa na nafasi kubwa ya kumsajili lakini sio kwa kipindi hiki.


Messi amekuwa akitajwa kuwa kwenye mipango ya kutaka kucheza soka nchini England ili akaungane na Pep Guardiola.

No comments