Mwimbaji wa taarab aliyetesa sana na wimbo “Thamani ya Pendo” kupitia kundi la Wakali Wao Modern Taradance, Asya Utamu amekuja kivingine kupita wimbo wake mpya.

Wimbo huo unaoitwa “Rudi” upo katika miondoko ya bongo fleva, ikiwa ni kazi yake binafsi nje ya kundi. Usikilize hapo juu.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac