Habari

NTAMBA BAND WAINGIA KAMBINI KUANDAA KAZI MPYA

on

NTAMBA Band iliyo chini ya
tabibu Ntamba na Mungu iko kambini ikijiandaa na ujio mpya wa kishindo, kwa
mujibu wa kiongozi wa kundi hilo, Okaroba Omega.
Hivi sasa Ntamba Band inayojumuisha
vijana wanne wenye vipaji ambao ni Okaroba mwenyewe, Rayshar, AR Madini na Boker
Junior inatamba na kibao chao kipya cha “Mgeni wa Nani”.

“Muda si mrefu tutaachia kazi
yetu mpya ya audio pamoja na video, ambayo tunaamini itakuwa moto wa kuoteambali
na itafunika vibao vyetu vyote vilivyotangulia,” ametamba Okaroba katika
mazungumzo na Saluti5. 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *