MANCHESTER CITY imekoshwa na kiwango cha Raheem Sterling na sasa inataka kumzawadia mkataba mpya.

Licha ya kwamba Raheem mwenye umri wa miaka 22 bado ana miaka mitatu kwenye mkataba wake wa sasa hivi unaomwingizia pauni 200,000 kwa wiki, lakini kocha Pep Guardiola anataka kumtia 'kitanzi'.

Mara kadhaa kocha huyo amekuwa akisisitiza kuwa hataki kumpoteza winga huyo aliyesajiliwa kwa pauni 49 kutoka Liverpool.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac