Mshambuliaji nyota wa Arsenal Danny Welbeck atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu hadi nne baada ya kuumia kwenye mchezo wa sare ya 0-0 dhidi ya Chelsea Jumapili mchana.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema: "Danny amefanyiwa vipimo leo, hatujui amepata maumivu makubwa kiasi gani, lakini ni wazi kuwa atakuwa nje kwa wiki tatu au zaidi".

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac