Beki wa kushoto wa Manchester City Benjamin Mendy, amepelekwa Hispania kukuona na daktari bingwa baada ya kuumia goti. 

Mandy alipigwa picha akitembelea mkongojo wakati akielekea kwenye gari huku mguu wake wa kulia ukiwa umekewa 'sapoti'.

Nyota huyo aliyetua City msimu huu kwa dau la pauni milioni 52 akitokea Monaco, anahofiwa kuwa atakuwa nje ya dimba kwa miezi tisa.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac