PSG KUMALIZA BIFU LA NEYMAR NA CAVANI


PSG inatarajiwa kuwaweka kitako washambuliaji Neymar na Cavani ili kumaliza bifu lao lilililoanzia uwanjani kufuatia kila mmoja kutaka awe ndiye mpigaji wa mipira ya adhabu.

Hali hiyo ilitokea katika mchezo wa dhidi ya Lyon ambapo inaelezwa bifu lao liliendelea hadi katika vyumba vya kubadilishia nguo.

No comments