PSG YAIINGIZA DARASANI CELTIC KWA KISAGO CHA 5-0, NEYMAR, MBAPPE, CAVANI WEE WACHA TU ...Bayern Munich 3 - 0 Anderlecht


Neymar, Kylian Mbappe na Edinson Cavani wameiongoza Paris Saint-Germain kwenye ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Celtic katika mchezo wa Champions League wa kundi B.

Wakati Cavani akifunga mara mbili, Mikael Lustig wa Celtic akajifunga.

Celtic: Gordon, Simunovic, Ralston, Lustig, Tierney, Brown, Ntcham, Armstrong (Rogic HT), Roberts (Forrest 78), Sinclair, Griffiths (Edouard 69).

PSG: Areola, Dani Alves, Thiago Silva, Marquinhos, Kurzawa, Verratti, Thiago Motta, Rabiot (Draxler 61), Cavani, Neymar, Mbappe (Lo Celso 84).

Wafungaji: Neymar 19, Mbappe 34, Cavani 40 pen, 86, Lustig 84 (kujifunga).

Kwenye mchezo mwingine wa kundi B, Bayern Munich ikashinda 3 - 0 dhidi ya Anderlecht ya Ubelgiji.

No comments