PSG YAMFUKUZISHA KAZI CARLO ANCELOTTI BAYERN MUNICH


Carlo Ancelotti amefukuzwa kazi Bayern Munich mwaka mmoja tu tangu aanze kuwakochi mabingwa hao wa Ujerumani.

Kipigo cha bao 3-0 kutoka kwa PSG Jumatano usiku kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa, ndiyo kilichohitimisha kibarua cha Ancelotti ambaye amekuwa na mwanzo wa kusuasua msimu huu.

No comments