REAL MADRID BADO WANG'ANG'ANA NA SAINI YA DAVID DE GEA

ULE msemo wa “atafutae hachoki na akichoka keshapata” unaweza kutumika vizuri kwa Real Madrid ambao wamepanga kurejea kwa kishindo mwezi Januari wakisaka saini ya De Gea.

Real Madrid kwa muda mrefu wamekuwa wakisaka saini ya kipa huyo lakini Manchester United wanaweka ngumu kumuachia hata kwa kitita kikubwa cha fedha.


Real Madrid wamepanga kurejea tena katika dirisha la Januari wakiwa na ofa kubwa zaidi.

No comments