TOTTENHAM YAIFANYIA KITU MBAYA BORUSSIA DORTMUND … Harry Kane kama kawa


Ikicheza kwenye dimba la Wembley, Tottenham imeichakaza timu ngumu ya Borussia Dortmund 3-1 katika mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.Harry Kane aliendelea kung’ara baada ya kupachika mabao mawili huku Son Heung-min akifunga mara moja wakati bao pekee la Dortmund likipachikwa wavuni na Andriy Yarmolenko.


TOTTENHAM (3-4-3): Lloris 6, Aurier 7, Alderweireld 7, Sanchez 7, Vertonghen 6, Davies 6.5, Son 7.5 (Sissoko 83), Dembele 6.5, Dier 6.5, Eriksen 7, Kane 8.5 (Llorente 87)
Wafungaji: Son 4, Kane 15, 60
 
BORUSSIA DORTMUND (4-3-2-1): Burki 3; Piszczek 5, Papastathopoulos 5, Toprak 5 (Zagadou 80, 5.5), Toljan; Dahoud 6.5 (Castro 72, 5.5), Sahin 6.5, Kagawa 6.5 (Gotze 67, 5.5); Yarmolenko 7.5, Pulisic 7; Aubameyang 7
Mfungaji: Yarmolenko 11 

No comments