WENGER ASEMA KYLIAN MBAPPE NI PELE MPYA


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amemuelezea kinda wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe kama 'Pele mpya'.

Akiongea na beIN SPORTS, Wenger akadai mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 18 ana vigezo vyote vya kuwa mchezaji bora zaidi duniani.

No comments