WESTHAM YAMNG'ANG'ANIA MCHEZAJI WA SPORTING LISBON

KLABU ya Westham imepanga kukamilisha usajili wa nyota wa Sporting Lisbon, William Carvalho mwenye miaka 25, katika dirisha dogo la usajili.

Westham ilimkosa kiungo huyo katika dirisha hili baada ya klabu hiyo kugoma kumwachia, huku ikitaka nyongeza ya dau.


Klabu hiyo ya nchini England imepanga kuwa na timu ya ushindani msimu huu baada ya kuanza vibaya kwenye michuano ya Ligi.


No comments