ALLY STAR HUYU HAPA NA ‘JEMBE’ LAKE


Kamera ya Saluti5 imemnasa mwimbaji mkongwe wa taarab wa kundi la TOT, Ally Hemed “Star” akiwa na mwanae wa kwanza wa kiume aitwae Hemed Ally.

Hiyo ilikuwa ni katika ukumbi wa CCM Mwinjuma jijini Dar es Salaam wakati kundi la TOT lilipokuwa linafanya mazoezi yake.

No comments