Habari

ALVARO MORATA WA CHELSEA NJE MWEZI MZIMA

on

Mshambuliaji wa pauni milioni 70 wa Chelsea, Alvaro Morata atakuwa nje ya uwanja angalau mwa mwezi mmoja kufuatia maumivu ya msuli wa paja.
Nyota huyo aliyefunga magoli saba katika mechi nane tangu ahamie Stamford Bridge akitokea Real Madrid, aliumia Jumamosi wakati Chelsea ilipokubali kichapo cha 1-0 kutoka kwa Manchester United kwenye mechi ya Premier League.
Mechi anazotarajiwa kuzikosa:
Crystal Palace (away) – Premier League
Roma (home) – Champions League
Watford (home) – Premier League
Everton (home) – Carabao Cup
Bournemouth (away) – Premier League 
Roma (away) – Champions League

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *