ANCELOTTI ATAJWA KUMRITHI ANTONIO CONTE CHELSEA

KOCHA Carlo Ancelotti anayetajwa kutaka kurithi kiti cha Antonio Conte katika kikosi cha Chelsea.

Conte amekalia kuti kavu katika kikosi cha Chelsea na kuna uwezekano wakaachana kabla ya kuisha kwa msimu huu.


Crlo Ancelotti amefukuzwa kazi kwenye klabu ya Bayern Munich na jina lake limekuwa likitajwa kutaka kurejea tena Chelsea ambako amewahi kufundisha kwa mafanikio kabla ya kutemwa.

No comments