ARJEN ROBBEN ASEMA "SINA PUPA YA KUONGEZA KANDARASI BAYERN MUNICH"

WINGA wa timu ya Bayern Munich, Arjen Robben ambaye ametimiza umri wa miaka 33, amesema kuwa hana haraka ya kusaini mkataba mpya katika klabu hiyo.

Mkataba wa winga huyo unamalizika mwishoni mwa msimu huu na Bayern Munich inahaha namna ya kumbakiza mkongwe huyo.


Taarifa zinadai kuwa Roben yuko kwenye mkakati wa kuhamia kwenye moja ya klabu kubwa nchini England.

No comments