ARSENE WENGER AMNYEMELEA KIUNGO WA TRABZONSPOR KUONGEZA NGUVU KIKOSINI

KOCHA wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger amepanga kukiongezea nguvu kikosi chake baada ya kuanza kumwinda kiungo wa Trabzonspor mwenye umri wa miaka 18.


Katika usajili huu Wenger anaweza kukumbana na upinzanim kutoka timu ya Atletico Madrid ya nchini Hispania ambayo imemuweka kwenye orodha ya wachezaji wanaowindwa katika dirisha la Januari.

No comments