AUDIO: "JIBEBISHE" KUTOKA KWA DAR MUSICA ORIGINAL CHINI YA JADO FFU


Hivi karibuni Dar Musica Original chini ya Jado FFU, iliachia nyimbo mbili mpya.


Mojawapo ni huu hapa “Jibebishe” ambayo ipo katika miondoko ya mduara ingawa mwishoni utakutana na sebene flani tamu.

No comments