AUDIO: KAMA BADO HUJAIPATA NYIMBO YA J MARTINS NA CHRISTIAN BELLA, BASI JIPAKULIE HAPAMkali wa muziki wa dansi hapa Bongo, Christian Bella anazidi kusogea anga za kimataifa baada ya kushirikishwa na staa wa Nigeria, J Martins.

Bella amepewa shavu la kufanya kobalo ya J Martins kupitia wimbo wa “Uuuh Bebe” ambao pia ameshirikishwa Serge Beynaud wa Ivory Coast.

Ndani ya wimbo huo, Bella ametambaa vizuri na melody zake tamu za lugha ya Kiswahili cha mtaani. ISIKILIZE HAPO JU


No comments