Habari

BARCELONA 3-0 LAS PALMAS: Sergio Busquets, Messi watakata Nou Camp bila mashabiki

on

Lionel Messi amefunga mara mbili wakati Barcelona ikiitandika Las Palmas kwenye mechi ya La Liga, lakini hakuna shabiki yeyote aliyeruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia.
Bao lingine la Barcelona lilifungwa na kiungo Sergio Busquets na kufanya vinara hao wa La Liga wafikishe pointi 21.
Uwanja wa Camp Nou ulikuwa mtupu kufuatia hali ya amani iliyochafuka kufuatua  Catalonia ambayo ndiyo jimbo lenye makao ya Barcelona kuanzisha harakati za kutaka kujitenga na Hispania.
Hali ilikuwa si shwari nje ya uwanja baada ya mashabiki kukatazwa kuingia ndani ya Camp Nou kushuhudia mechi hiyo.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *