BARCELONA KULIANZISHA TENA KWA PHILIPPE COUTINHO MWEZI JANUARI


Barcelona itaanzisha tena harakati za kumsajili Philippe Coutinho katika dirisha dogo la Januari.

Habari kutoka Hispania zinasema Barcelona bado haijamkatia tamaa mshambuliaji huyo wa Livierpool baada ya kukwama kumsajili majira ya kiangazi.

Hata hivyo Liverpool sasa inasema thamani ya Coutinho ni pauni milioni 134 baada ya kukataa ofa ya pauni 114 mwezi August.No comments