BEKI WA ATHLETIC BILBAO ANOGEWA HISPANIA

BEKI wa timu ya Athletic Bilbao, Laporte mwenye miaka 23 amesema kuwa hana mpango wa kuondoka nchini Hispania kwa sasa kwa kuwa anafurahia maisha na familia yake ina amani.


Beki huyo amesema kuwa alizigomea ofa ya kujiunga na klabu ya Manchester City na Chelsea imetajwa kutokata tamaa ikiamini inaweza kumnasa katika dirisha dogo la Januari.

No comments