BOSI WA ARSENAL ASEMA HAJAKATA TAMAA KUWASHAWISHI OZIL NA SANCHEZ

MMILIKI wa klabu ya Arsenal, Stan Kroenke amesema bado hajakata tamaa ya kuwashawishi mastaa wake wawili, Mesut Ozil na Alexis Sanchez ambao wanataka kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

Kroenke pia amesema kwamba hana mpango wa kuiuza klabu ya Arsenal kama ambavyo imekuwa ikielezwa kwenye vyombo vya habari.


No comments