BRAZI YABANWA NA BOLIVIA ...magoli 'yamkataa' Neymar


Brazil ambayo imeshafuzu fainali za Kombe la Dunia, imelazimishwa sare ya 0-0 na Bolivia katika mchezo mkali wa hatua ya kuwania tiketi ya kwenda Urusi mwaka 2018.

Carlos Lampe kipa wa Bolivia ambayo ilishapoteza nafasi ya kufuzu, ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo kwa kuokoa michomo mingi ikiwemo mashuti matatu ya Neymar.  


No comments