CHELSEA YAICHAPA EVERTON 2-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI YA CARABAO CUP


Chelsea imetinga hatua ya robo fainali ya Carabao Cup baada ya kuinyuka Everton 2-1.


Dakika ya 26, beki Antonio Rudiger aliifungia Chelsea bao lake la kwanza tangu ajiunge na timu hiyo huku Willian akifunga la pili dakika ya 90 kabla Dominic Calvert-Lewin hajaipatia Everton bao pekee katika dakika za majeruhi.

Chelsea (3-4-3): Caballero 7.5; Rudiger 7, Christensen 6, Cahill 6; Zappacosta 6.5, Drinkwater 6.5 (Fabregas 62 6), Ampadu 6, Kenedy 6; Willian 7, Batshuayi 6 (Morata 84), Musonda 6.5 (Pedro 70 6).

Everton (4-3-3): Pickford 6; Kenny 6, Williams 6, Jagielka 6, Baines 6; Davies 6, Baningime 6.5, McCarthy 6 (Calvert-Lewin 64 7); Lennon 6.5 (Lookman 73 6.5), Rooney 6 (Niasse 81), Mirallas 6.
No comments