CRISTIANO RONALDO BADO MAGOLI 7 KUFIKIA REKODI YA LIONEL MESSI ENGLAND


Cristiano Ronaldo aliifungia Real Madrid bao la kusawazisha dhidi ya Tottenham kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa ulioisha kwa sare ya 1-1.

Kwa kufunga bao hilo, Ronaldo anafikisha jumla ya magoli 10 aliyofunga dhidi ya timu za England ana anakuwa mchezaji wa pili duniani aliyetikisa nyavu za vilabu vya England mara nyingi.


Lionel Messi ndiye kijogoo kwa timu za England ambapo hadi sasa ameshazifunga mara 17.

No comments