Habari

DANI CARVAJAL WA REAL MADRID NJE WIKI SITA KWA MATATIZO YA MOYO

on

Beki wa Real Madrid Dani Carvajal, katika hali ya kushangaza, anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa matatizo ya moyo na atakuwa nje ya dimba kwa muda fulani.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, amelazimika kuenguliwa kwenye kikosi kitakachopambana na Espanyol Jumapili usiku na ripoti zinasema anaweza akawa nje kwa wiki sita.

Carvajal pia ameenguliwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Hispania kwaajili ya michezo miwili iliyosalia ya kufuzu kombe la dunia kati ya Albania na Israel mwezi huu.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *