FC BARCELONA - MESSI HUYU ATAZEEKEA HAPA

KLABU ya Barcelona inapanga kumpa mkataba wa maisha sataa wake, Lionel Messi, utakaofanya atumikie hadi mwisho wa maisha yake.

Kitendo hicho kinazima ndoto za klabu ya soka ya Manchester City iliyokuwa ikiwaza kumnasa ili amalize maisha yake ya soka nchini England.

Barcelona wanataka kumfanya Messi kuwa nembo ya klabu ambapo hata atakapotangaza kustaafu bado ataendelea kutoa huduma nje ya uwanja.

No comments