GERMANY YAICHAPA NORTHERN IRELAND 3-1 NA KUFUZU KOMBE LA DUNIA


Ujerumani ikicheza ugenini dhidi ya Northern Ireland, imeshinda 3-1 katika mchezo wa kundi C na kupata tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika mwaka ujao nchini Urusi.

Magoli ya Ujerumani yalifungwa na Sebastian Rudy, Sandro Wagner na Joshua Kimmich huku bao pekee la  Northern Ireland likifungwa na Josh Magennis.No comments