GRUPU LA WHASAAP LA "YANGA 4 LIFE" LAMMWAGIA PIUS BUSWITA LAKI TANO TASLIMU

MASHABIKI wa klabu ya yanga wanaounda group la mtandao wa kijamii wa whatsaap lijulikanalo kama “Yanga 4 Life”, leo limemzawadia Pius Buswita kitita cha sh. 500,000, baada ya kuchaguliwa mchezaji bora kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi iliyopita.

No comments