HALLE BARRY WA HOLLWOOD ACHEKELEA KUFIKISHA WAFUASI MIL 2 INSTAGRAM

STAA wa filamu nchini Marekani, Halle Barry ameonyesha furaha yake baada ya kufikisha wafuasi mil 2 kwenye akaunti yake ya Instagram.

Staa huyo mwenye miaka 51 aliyewahi kushinda tuzo ya Oscar amekuwa akiposti picha kwenye mitandao ya kijamii akifurahia kufikisha idadi hiyo ya wafuasi.

Berry ametuma picha ya kitukio akiwa amepozi juu ya choo chja ndani huku akiwa anmevaa koti na sketi nyeusi.


“Ni jambo zuri kuona una kundi kubwa la watu wanaokufata kwenye mitandao ya kijamii,” ilisomeka sehemu ya taarifa fupi aliyoituma staa huyo.

No comments