HATIMAYE HARRY KANE AIPELEKA ENGLAND WORLD CUP 2018Harry Kane ameifungia England bado pekee dhidi ya Slovenia na kuihakikishia nchi yake nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi.

Katika mchezo  huo wa kundi F wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia, England ilibidi isubiri hadi dakika ya mwisho ya mchezo pale Kane alipofunga kwa kumalizia krosi tamu ya  Kyle Walker.

England: Hart 6.5, Walker 6, Cahill 5, Bertrand 6, Stones 5.5, Oxlade-Chamberlain 4.5 (Lingard 64, 5), Henderson 5.5, Dier 5.5, Kane 7.5, Rashford 8, Sterling 6 (Keane 85, 6)

Slovenia: Oblak, Struna, Mevlja, Cesar, Jokic, Rotman (Matavz 79), Ilicic, Krhin, Bezjak (Repas 72), Sporar (Birsa 55), Verbic
No comments