IKER CASILLAS NI LIVERPOOL AU NEWCASTLE

KIPA wa zamani wa Real Madrid, Iker Casillas anahusishwa kutaka kumaliza maisha yake ya soka nchini England.

Klabu ya Liverpool na Newcastle zimekuwa zikipigana vikumbo kuwania sainin ya kipa huyo anayedaka kwa mafanikio katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania.


Kipa huyo mwenye miaka 36, hivi sasa yupo nchini Ureno katika klabu ya Porto baada ya kuachwa na Real Madrid.

No comments