INTER MILAN YAANZA TENA KUMNYENGANYENGA MARCO REUS WA BORUSSIA DORTMUND

KLABU ya Inter Milan imefufua tena mpango wa kumsajili staa wa Borussia Dortmund, Marco Reus mwenye miaka 28.


Kiungo huyo pia anawindwa na klabu ya Liverpool ambayo inajiandaa kuishi bila Coutinho anaetarajia kukamilisha uhamisho wa kwenda Barcelona msimu ujao. 

Kuna uwezekano mkubwa wa Inter Milan kushinda vita hii baada ya kuanza kumfuatilia muda mrefu.

No comments