JAHAZI KAMA KAWA KAMA DAWA TRAVERTINE HOTEL JUMAPILI HII


Jahazi Modern Taarab Jumapili jii itaendeleza raha zake ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel, Magomeni jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Jahazi, Khamis Boha, ameiambia Saluti5 kuwa kwasasa kila kitu kimekaa sasa na kwamba kundi lake litakuwa Travertine kila Jumapili.

“Hata yale mambo ya usalama tumeyaweka sawa, burudani itapigwa hadi usiku mnene,” alisema Boha.

No comments