JENNIFER LOPEZ FULL BATA NA FAMILIA YAKE

STAA mwenye mvuto wa kimapenzi, Jennifer Lopez amezidi kufanya matumizi akiwa sambamba na familia yake baada ya mwanzoni mwa wiki hii kunaswa akiwa kwenye mtoko wa chakula cha mchana katika migahawa ya Baverly Hills.

Jennefer aliahirisha shoo zake tatu katika jiji la Las Vegas huku familia ikitajwa kuwa sababu ya kukatishwa kwa ziara hiyo.

Staa huyo mwenye miaka 48, alikuwa na watoto wake Emme, Maximillian sambamba na mume wake, Alex Rodriguez  huko  Baverly Hills.


Staa huyo mwenye mvuto amekuwa na mwenendo wa kubadili wanaume kila mara kwasababu hajawahi kudumu katika uhusiano wa kimapenzi.

No comments