KANSA YA MATITI YAMGUSA XHAKA WA ARSENAL


Kiungo wa Uswisi na Arsenal, Granit Xhaka atavaa viatu vya pinki kwenye mechi za klabu na nchi yake kwa mwezi wote wa Oktoba ili kuunga mkono kampeni ya kupambana na kansa ya matiti.

Xhaka ni mmoja wa mastaa 30 watakoshiriki mpango mpya wa kusapoti kampeni ya "Power in Pink" iliyoanza mwaka 2003.


No comments