KANYE WEST AMPAGAWISHA KIM KADARSHIAN

KAMA unadhani mrembo Kim Kardashian anaweza kuachana na mume wake, Kanye West, unajidanganya na utasubiri sana kwani ripoti zilizopo ni kwamba jamaa amekuwa akimdatisha mpenzi wake kwa kumpa mambo mapya na matamu kila uchao.

Taarifa za ndani zinadai kuwa rapa Kanye West amekuwa akikagua vipodozi na sabuni anazotumia Kim ili asiweze kupata madhara na kuathiri ngozi yake.

Mwaka jana Kanye West aliposti picha mtandaoni akionekana anamvisha viatu Kim na picha hiyo ilisambaa na kuwa gumzo kila pembe ya dunia.


Kanye amedaiwa kuwa kwenye hali ya unyenyekevu anapokuwa na Kim na hiyo imetajwa kama silaha asiweze kumponyoka.

No comments