Habari

LACAZETTE AFICHUA USHAURI ALIOPEWA NA MAMA YAKE

on

ALEXANDRE LACAZETTE amefichua ni kwanini aliamua kuwa mshambuliaji badala ya nafasi ya golikipa aliyokuwa akiitumikia utotoni.
Mshambuliaji huyo aliyetua Arsenal kwa rekodi ya klabu ya pauni milioni 52, amesema mama yake mzazi alimshauri awe mshambuliaji kwa vile aliamini ni nafasi ya ugolikipa ni hatarishi.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 amesema: “Nikiwa mtoto nilipendelea kucheza kama golikipa, lakini mama yangu akaaniambia nafasi hiyo ni hatari na ni bora nicheze nafasi ya ushambuliaji na si vingenevyo”.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *