LEO AMEZALIWA PRINCE AMIGO WA JAHAZI …Happy Birthday ‘Boss Kichefuchefu’


Tarehe kama ya leo, Oktoba 5 miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa mwimbaji nyota wa taarab Aboubakary Soud “Prince Amigo” anayeliongoza kundi la Jahazi Modern Taarab.

Saluti5 inamtakia kila la kheri Prince Amigo katika siku yake hii muhimu ya kukumbuka siku aliyotua duniani.

Happy Birthday Prince Amigo au Boss Kichefuchefu kama anavyojiita mwenyewe. Mungu akupe umri mrefu.

No comments