LIVERPOOL YAIANGUSHIA MARIBOR KARAMU YA MAGOLI 7-0, FIRMINO, SALAH MOTO CHINI … Spartak Moscow nayo yaichapa Sevilla 5 - 1


Liverpool imefanya mauaji kwenye Champions League baada ya kuichapa Maribor 7-0 katika mchezo wa upande mmoja wa kundi E.

Washambuliaji Roberto Firmino na Mohamed Salah
wakawa hashikiki ambapo kila mmoja alitumbukiza mpira wavuni mara mbili huku Philippe Coutinho, Alex Oxlade-Chamberlain na Trent Alexander-Arnold wakifunga mara moja kila mmoja.

Katika mchezo mwingine wa kundi E, Spartak Moscow ya Urusi ikaibabua Sevilla ya Hispania 5-1.

No comments