LIVERPOOL YAMNG’ANG’ANIA MKONGWE JAMES MILNER

KLABU ya Liverpool haina mpango wa kuachana na mkongwe wake, James Milner katika dirisha la Januari mwakani.

Mkongwe huyo mwenye miaka 31, anatajwa kuwa kwenye mipango ya kocha Jurgen Klopp aliepanga kufanya nae kazi pamoja.


Liverpool imekuwa na msimamo mkali katika kuzuia nyota inayowahitaji na msimu uliopita walifanikiwa kuzuia kabu ya Barcelona kumnasa Countinho.

No comments